Ufafanuzi wa pupa katika Kiswahili

pupa

nominoPlural pupa

  • 1

    nia ya kutaka kumaliza au kufikia mwisho wa jambo kwa haraka bila ya umakini.

    tutuo

Matamshi

pupa

/pupa/