Ufafanuzi wa purutangi katika Kiswahili

purutangi

nomino

  • 1

    chombo kama puto kubwa, agh. duara, ambacho hurushwa hewani kama tiara.

    twinga, futuza, tufe, patangi

Matamshi

purutangi

/purutangi/