Ufafanuzi msingi wa pwaya katika Kiswahili

: pwaya1pwaya2

pwaya1

kitenzi sielekezi~ia, ~isha, ~iana, ~ika

  • 1

    legalega k.v. nguo mwilini kwa kuwa pana kuliko mwili; kosa kutosha kwa kuwa kubwa zaidi.

    ‘Suruali hii inampwaya’
    ‘Pete hii ni kubwa, inanipwaya kidoleni’

Matamshi

pwaya

/pwaja/

Ufafanuzi msingi wa pwaya katika Kiswahili

: pwaya1pwaya2

pwaya2

kitenzi elekezi~ia, ~isha, ~iana, ~ika

Matamshi

pwaya

/pwaja/