Ufafanuzi wa pwea katika Kiswahili

pwea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~za

  • 1

    pungua uvimbe au ukubwa; kuwa dogo kuliko ilivyokuwa.

    ‘Jana mguu ulikuwa umevimba lakini leo umepwea’
    pojaa, nywea

Matamshi

pwea

/pwɛja/