Ufafanuzi wa rakaa katika Kiswahili

rakaa

nominoPlural rakaa

Kidini
  • 1

    Kidini
    tendo la kusimama, kurukuu na kusujudu katika sala ya dini ya Uislamu.

    ‘Timiza rakaa’

Asili

Kar

Matamshi

rakaa

/raka:/