Ufafanuzi wa rakadha katika Kiswahili

rakadha

nomino

  • 1

    hali ya kushikilia jambo kwa lazima.

    ‘Fanyia rakadha’

Asili

Kar

Matamshi

rakadha

/rakaĆ°a/