Ufafanuzi wa ranchi katika Kiswahili

ranchi

nominoPlural ranchi

  • 1

    shamba maalumu linalotumiwa kufugia na kuzalishia mifugo.

Asili

Kng

Matamshi

ranchi

/rantʃi/