Ufafanuzi wa rasiberi katika Kiswahili

rasiberi

nomino

  • 1

    tunda dogo laini la rangi nyekundu.

Asili

Kng

Matamshi

rasiberi

/rasibɛri/