Ufafanuzi wa rasta katika Kiswahili

rasta

nomino

  • 1

    mtindo wa kusokota nywele mithili ya kamba ndefu zinazoning’inia.

Asili

Kng

Matamshi

rasta

/rasta/