Ufafanuzi wa rediokaseti katika Kiswahili

rediokaseti

nominoPlural rediokaseti

  • 1

    redio ambayo ina sehemu ya kupigia kanda za muziki.

Asili

Kng

Matamshi

rediokaseti

/rɛdijɔkasɛti/