Ufafanuzi wa rejea katika Kiswahili

rejea

kitenzi sielekezi

 • 1

  ‘Ukienda leo utarejea lini?’
  rudi

 • 2

  rudia

 • 3

  angalia kitu k.v. kitabu kwa lengo la kupata taarifa.

Asili

Kar