Ufafanuzi wa rejimenti katika Kiswahili

rejimenti

nomino

  • 1

    kikosi chini ya kanali.

Asili

Kng

Matamshi

rejimenti

/rɛʄimɛnti/