Ufafanuzi wa rembesha katika Kiswahili

rembesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya iwe ya kuvutia na kupendeza.

    kwatua

Matamshi

rembesha

/rɛmbɛ∫a/