Ufafanuzi wa riboni katika Kiswahili

riboni

nominoPlural riboni

  • 1

    utepe mrefu uliotiwa wino na kuzungushiwa kwenye kijaluba cha duara na kutumika katika taipureta.

  • 2

    utepe mrefu unaotumiwa kufungia nywele, vifurushi vya zawadi, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

riboni

/ribɔni/