Ufafanuzi wa rihani katika Kiswahili

rihani

nominoPlural rihani

  • 1

    ua linalotokana na mmea wa mrihani linalotoa harufu nzuri na ambalo hutumiwa kuwa ni mafusho.

Asili

Kar

Matamshi

rihani

/rihani/