Ufafanuzi msingi wa rinda katika Kiswahili

: rinda1rinda2

rinda1

nominoPlural marinda

  • 1

    mkunjo wa nguo unaopindwa kwa ndani na kuwa na tabaka.

Matamshi

rinda

/rinda/

Ufafanuzi msingi wa rinda katika Kiswahili

: rinda1rinda2

rinda2

nominoPlural marinda

  • 1

    kanzu ya kike iliyokatwa kiunoni na iliyo pana.

    gauni

Matamshi

rinda

/rinda/