Ufafanuzi wa rukono katika Kiswahili

rukono

nominoPlural rukono

  • 1

    kifupisho cha rununu ya mkono; simu ya mkononi.

    simutamba, selula, mobaili

Matamshi

rukono

/rukɔnɔ/