Ufafanuzi wa rula katika Kiswahili

rula

nominoPlural rula

  • 1

    kifaa chenye urefu wa karibu sentimita 30 au futi 1 kilicho bapa na kingo zilizonyoka na chenye alama za vipimo vya urefu, hutumika kwa kupimia au kupigia mistari.

    kigezo

Asili

Kng

Matamshi

rula

/rula/