Ufafanuzi msingi wa ruzuku katika Kiswahili

: ruzuku1ruzuku2

ruzuku1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  Kidini
  -pa neema.

 • 2

  -pa riziki.

  ‘Hali niliyonayo aliyeniruzuku ni Mungu’

Asili

Kar

Matamshi

ruzuku

/ruzuku/

Ufafanuzi msingi wa ruzuku katika Kiswahili

: ruzuku1ruzuku2

ruzuku2

nominoPlural ruzuku

 • 1

  fedha zinazotolewa na serikali au nchi kuipa idara fulani, nchi au mashirika yasiyo ya serikali ili kutimiza mahitaji au kufanyia shughuli zake.

Asili

Kar

Matamshi

ruzuku

/ruzuku/