Ufafanuzi wa Sabasaba katika Kiswahili

Sabasaba

nominoPlural Sabasaba

  • 1

    siku iliyokuwa ya kuadhimisha kuanzishwa kwa chama cha siasa TANU, tarehe 7 Julai 1954, ili kupigania uhuru Tanganyika.

  • 2

    siku maalumu ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa, Tanzania.

Matamshi

Sabasaba

/sabasaba/