Ufafanuzi wa sabihi katika Kiswahili

sabihi

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    tukuza jina la Mwenyezi Mungu kwa kulitaja.

Asili

Kar

Matamshi

sabihi

/sabihi/