Ufafanuzi wa sahaulifu katika Kiswahili

sahaulifu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kupitiwa na mawazo; -enye kughafilika; -enye tabia ya kusahau.

Asili

Kar

Matamshi

sahaulifu

/sahawulifu/