Ufafanuzi wa sakama katika Kiswahili

sakama

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    zonga mtu kwa maneno makali ili kumkasirisha au kumkosesha raha.

  • 2

    shindwa kupita kwa kitu kwenye tundu k.v. chakula kwenye koo; shindwa kuendelea.

    kwama, data

Matamshi

sakama

/sakama/