Ufafanuzi wa sakini katika Kiswahili

sakini

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kishairi kaa mahali.

  • 2

    fanya maskani.

Asili

Kar

Matamshi

sakini

/sakini/