Ufafanuzi wa Sala ya Idi katika Kiswahili

Sala ya Idi

  • 1

    sala maalumu baada ya mfungo wa saumu au wakati wa kutekeleza amali ya Hija inayosaliwa na Waislamu kwa jamaa uwanjani au msikitini inayotangulizwa kwa takbira na kufuatanishwa kwa hotuba.