Ufafanuzi wa salaam aleikum! katika Kiswahili

salaam aleikum!

kiingizi

  • 1

    salamu ya kutakiana heri na amani, itolewayo wakati wowote na jibu lake ni ‘Aleikum salaam’.

Asili

Kar

Matamshi

salaam aleikum!

/sala:m alɛikum/