Ufafanuzi wa samani katika Kiswahili

samani

nomino

  • 1

    vyombo vya nyumbani k.v. meza, viti, kabati au kitanda.

    fanicha

Asili

Kar

Matamshi

samani

/samani/