Ufafanuzi wa sambaza katika Kiswahili

sambaza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    eneza kitu au jambo katika sehemu kubwa.

    tambaza

  • 2

    fanya vitu vikae kwa nafasi bila kubanana.

Matamshi

sambaza

/sambaza/