Ufafanuzi wa sampuli katika Kiswahili

sampuli

nominoPlural sampuli

  • 1

    kitu kimoja kati ya vingi vya aina ileile kinachochukuliwa kama mfano mzuri wa vitu hivyo.

  • 2

    mtindo mpya wa kitu.

    ‘Sampuli mpya ya suruali imeingia’
    aina, jinsi

Asili

Kng

Matamshi

sampuli

/sampuli/