Ufafanuzi wa sandali katika Kiswahili

sandali

nominoPlural sandali

  • 1

    manukato yatokanayo na urojorojo wa msandali.

  • 2

    kipande cha mti wa msandali.

Asili

Kar

Matamshi

sandali

/sandali/