Ufafanuzi msingi wa sangara katika Kiswahili

: sangara1sangara2

sangara1

nominoPlural sangara

  • 1

    mdudu mdogo mwekundu, mkubwa kuliko siafu, aumaye sana, agh. huenda katika msafara.

Matamshi

sangara

/sangara/

Ufafanuzi msingi wa sangara katika Kiswahili

: sangara1sangara2

sangara2

nominoPlural sangara

  • 1

    samaki mkubwa wa maji baridi mwenye magamba na mdomo mpana na wa asili ya Mto Nili.

Matamshi

sangara

/sangara/