Ufafanuzi wa sarara katika Kiswahili

sarara

nominoPlural sarara

  • 1

    nyama laini zilizoambaa pambizoni mwa uti wa mgongo wa binadamu au mnyama.

Asili

Kar

Matamshi

sarara

/sarara/