Ufafanuzi wa sare katika Kiswahili

sare

nominoPlural sare

  • 1

    nguo zinazofanana zinazovaliwa na kikundi cha watu k.v. wanafunzi, wafanyakazi au askari.

    ‘Wamevaa sare’
    yunifomu

Matamshi

sare

/sarɛ/