Ufafanuzi wa sarifu katika Kiswahili

sarifu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  panga, hasa maneno, kwa ufasaha kulingana na kanuni za lugha.

 • 2

  tumia kitu k.v. fedha au chakula vizuri.

  ‘Sarifu fedha’

 • 3

  tunza kitu au mtu vizuri.

  ‘Sarifu nyumba yako na mumeo’

Asili

Kar

Matamshi

sarifu

/sarifu/