Main definitions of saruji in Swahili

: saruji1saruji2

saruji1

noun

  • 1

    udongo unaotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa udongo wa mfinyanzi, mawe, chokaa na jasi ambavyo vyote husagwa ili kupata udongo laini wa ungaunga unaotumika kujengea nyumba au kutengenezea matofali.

    sementi

Origin

Kar

Pronunciation

saruji

/saruʄi/

Main definitions of saruji in Swahili

: saruji1saruji2

saruji2

noun

  • 1

    matandiko yanayotandikwa mgongoni mwa farasi au punda.

Origin

Kar

Pronunciation

saruji

/saruʄi/