Ufafanuzi wa satalaiti katika Kiswahili

satalaiti

nominoPlural satalaiti

  • 1

    chombo cha asili kinachozunguka angani.

  • 2

    chombo cha angani kilichotengenezwa na binadamu kilichotulia au kinachozunguka angani.

    ‘Satalaiti ya mawasiliano’
    ‘Satalaiti ya hali ya hewa’

Asili

Kng

Matamshi

satalaiti

/satalaiti/