Ufafanuzi msingi wa sataranji katika Kiswahili

: sataranji1sataranji2

sataranji1 , saratanji

nominoPlural sataranji

  • 1

    (vyenye kingi, malkia, askofu, kasri, walinzi, ngome, n.k.) mchezo unaofanana na drafti unaochezwa na wachezaji wawili, unaonuiwa kunoa mabongo yao kwa kupeleka vipande kumi na sita; upande wa mpinzani ili kuvamia na kuteka kingi kufuatana na kanuni maalumu.

    chesi

Asili

Kar

Matamshi

sataranji

/sataranʄi/

Ufafanuzi msingi wa sataranji katika Kiswahili

: sataranji1sataranji2

sataranji2

nominoPlural sataranji

  • 1

    mkeka wa kulalia, agh. huwa ni wa kili pana.

Asili

Kar

Matamshi

sataranji

/sataranʄi/