Ufafanuzi wa serikali katika Kiswahili

serikali

nominoPlural serikali

  • 1

    chombo ambacho kwa misingi maalumu kimepewa mamlaka ya kuendesha utawala wa nchi.

    dola

Asili

Kaj

Matamshi

serikali

/sɛrikali/