Ufafanuzi wa sesa katika Kiswahili

sesa

nominoPlural sesa

  • 1

    kilimo kisichokuwa cha matuta, agh. katika sehemu za tambarare.

    ‘Lima sesa’

Matamshi

sesa

/sɛsa/