Ufafanuzi wa shabashi! katika Kiswahili

shabashi!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika kuelezea furaha au mshangao wa mtu anayelitamka kutokana na jambo au kitendo kilichotukia.

Asili

Kar

Matamshi

shabashi!

/∫aba∫i/