Ufafanuzi wa shabiki katika Kiswahili

shabiki, mshabiki

nomino

  • 1

    mtu mwenye kupenda sana jambo au kitu fulani.

    ‘Ali ni shabiki wa mpira’
    mpenzi

  • 2

    mtu anayengojea katika mchezo k.v. karata ili atakayeshindwa atoke aingie yeye.

Asili

Kar