Ufafanuzi wa shairi katika Kiswahili

shairi

nominoPlural mashairi

  • 1

    mtungo wa kisanaa wenye mpangilio maalumu wa lugha ya mkato katika usemi, maandishi au wimbo unaoeleza wazo au mawazo, hisi au tukio juu ya maisha na ambao hufuata utaratibu wa urari na muwala maalumu unaoheshimu na kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi unaohusika.

Asili

Kar

Matamshi

shairi

/∫aIri/