Ufafanuzi wa shajiisha katika Kiswahili

shajiisha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha kuwa na ushujaa; sababisha kuwa na moyo wa kutenda jambo.

    ‘Alikuwa ameogopa kupigana naye lakini nikamshajiisha’

Matamshi

shajiisha

/∫aʄi:∫a/