Ufafanuzi wa shakevale katika Kiswahili

shakevale

nominoPlural shakevale

  • 1

    ndege jamii ya tai mwenye mabato ya rangi mbalimbali kwenye mbawa, rangi ya kahawia mgongoni, kijivu kifuani na tumboni na miguu ya manjano.

    hajivale

Matamshi

shakevale

/∫akɛvalɛ/