Ufafanuzi wa shambulia katika Kiswahili

shambulia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

 • 1

  tumia kitu k.v. silaha, fimbo au ngumi ili kupiga mtu, agh. adui.

  ‘Jeshi la wazalendo lilishambulia jeshi la uvamizi’
  piga

 • 2

  tolea mtu maneno makali.

  tukana, chamba, sibabi, tusi, subu, taya

Matamshi

shambulia

/∫ambulija/