Ufafanuzi msingi wa shamiri katika Kiswahili

: shamiri1shamiri2

shamiri1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  enea na kupata kasi.

  ‘Ufugaji wa kuku mjini umeshamiri’
  ‘Habari imeshamiri’
  pambamoto, fana

Matamshi

shamiri

/∫amiri/

Ufafanuzi msingi wa shamiri katika Kiswahili

: shamiri1shamiri2

shamiri2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  tia risasi au shindilia baruti katika bunduki tayari kwa kupiga.

 • 2

  gongomea au pachika kitu k.v. mti kwenye tundu la kitanda au mlingoti.

Asili

Kar

Matamshi

shamiri

/∫amiri/