Ufafanuzi wa shampeni katika Kiswahili

shampeni

nominoPlural shampeni

  • 1

    aina ya mvinyo unaotumika katika sherehe.

Asili

Kng

Matamshi

shampeni

/∫ampɛni/