Ufafanuzi wa shamrashamra katika Kiswahili

shamrashamra

nomino

  • 1

    shughuli za mambo ya furaha au sherehe.

    shangwe, tamasha, sherehe

Matamshi

shamrashamra

/∫amra∫amra/