Ufafanuzi wa shani katika Kiswahili

shani

nomino

  • 1

    jambo au kitu kinachoshangaza na ambacho si kawaida yake kutukia.

    ajabu, hekaya, dungudungu, kioja, kituko, muujiza

Asili

Kar

Matamshi

shani

/∫ani/