Ufafanuzi wa shashi katika Kiswahili

shashi

nominoPlural shashi

  • 1

    aina fulani ya kitambaa chembamba na chepesi.

  • 2

    karatasi zilizo nyembamba na nyepesi sana.

Asili

Kar

Matamshi

shashi

/∫a∫i/